NENO LA SIKU/WORD OF THE DAY

Thursday, 14 May 2015

PICHA ZA MATUKIO YA KONGAMANO LA PASAKA 2015 MBEYA

Lilikuwa ni kongamano lililojaa nguvu za ROHO MT. watu walihudumiwa kadiri Roho alivyopenda


         

akiwa na mama yake          walipokutana huko katika kongamano
(rafiki yake mama yake pindi wakiishi Mbeya)












wapendwa wakisifu na kuabudu















wakiwa mikumi warudipo




akiwa na suka aliyewapeleka kwa kweli hata suka alishuhudia uwepo wa YESU KRISTO japokuwa alikuwa ni wa dini nyingine kabisaaa


hizi ni baadhi tu ya baraka za tz tumebarikiwa mpaka tunashangaa lkn tunagutushwa na umaskini ulitujaa mpaka mioyoni

1 comment:

  1. Waoh! Mungu na azidi kutukuzwa na watakatifu wake "kwakweli karsmatic katoliki mmekua mbegu ndani ya kanisa " Moto wa roho mtakatifu na uendelee kuwaka

    ReplyDelete