Thursday, 18 August 2016

INSPIRING STATEMENTS


"BEFORE YOU SAY I CAN'T TRY IT,
SO THAT WHEN YOU SAY YOU CAN'T YOU HAVE CLEAR AND VIVID EVIDENCE THAT YOU CAN'T, AND IF YOU CAN'T TODAY DOESN'T MEAN THAT YOU CAN'T TOMORROW (FOREVER)"

"KABLA HAUJASEMA SIWEZI JARIBU, ILI UNAPOSEMA SIWEZI UWE NA USHAHIDI KWAMBA HUWEZI, NA KAMA HUWEZI LEO HAIMAANISHI KWAMBA HUTAWEZA KESHO (MILELE)"


"DON'T BE SOMETHING WITHING NOTHINGN PEOPLE WILL SEE NOTHING INSTEADY OF SOMETHING, BUT BE NOTHING WITHING SOMETHING PEOPLE WILL SEE SOMETHING INSTEADY OF NOTHING-pabamasi88"




 hello haikuwa rahisi wala si rahisi hata kidogo si kama unavyodhani  ila yote yanawezekana hata mimi nilishangaa sana lakini ilinibidi mwisho wa siku na wakati ulip[owadia nikubaliane na matokeo tu

anaitwa wamari
anasele au ukipenda pabamasi lakini pia amekuwa pinpointed na Mungu hivyo ameongeza thepinpointed1.

inasemekana kwamba alizaliwa kati ya 86-88 (88) hata jinsi alivyofika chuo hajui ni njia ipi kapita yaani hajui ni nani aliyemfanya akafika hapo aiseeeeeee anashangaaa tuuuuu, la haikuwa nguvu zangu no hata kidogo isingewezekana bana mambo yenyewe acha kabisa yaani wewe acha usimuliwe tu usipite huko nakwambia utakimbia hujisemea mwenyewe

"LET OUR ACTS DELIVER PEOPLE"

No comments:

Post a Comment