Lilikuwa ni kongamano lililojaa nguvu za ROHO MT. watu walihudumiwa kadiri Roho alivyopenda

akiwa na mama yake walipokutana huko katika kongamano
(rafiki yake mama yake pindi wakiishi Mbeya)
wapendwa wakisifu na kuabudu

akiwa na suka aliyewapeleka kwa kweli hata suka alishuhudia uwepo wa YESU KRISTO japokuwa alikuwa ni wa dini nyingine kabisaaa
hizi ni baadhi tu ya baraka za tz tumebarikiwa mpaka tunashangaa lkn tunagutushwa na umaskini ulitujaa mpaka mioyoni

wakiwa mikumi warudipo

Waoh! Mungu na azidi kutukuzwa na watakatifu wake "kwakweli karsmatic katoliki mmekua mbegu ndani ya kanisa " Moto wa roho mtakatifu na uendelee kuwaka
ReplyDelete