Ulikuwa ni upendo wa ajabu sana ambapo YESU yeye mwenyewe bila kulazimishwa aliutoa uhai kwa ajili yangu mimi kwanza kwamaana
wahitaji wakiserebuka
mimi kwetu ni maskini labda ndo maana naumia sana ninapoona wahitaji wakiumia dhaaaa naumia wakati mwingine nasema hata mimi sina nitamsaidiaje mwenzangu je ni kweli no si kweli
huwa najisikia faraja anapopata msaada mhitaji maana huwa nahisi nimesaidiwa mimi ooooh napata raha lakini pia wakati mwingine ni mgumu sana kutoa lakini nitafanyaje ndio kilema changu hicho (usikikubali) omba sana ukiepuke "hakuna maskini aliye masikini isipokuwa hapumui tena maana hatasaidia mtu isipokuwa tu yu hai" fanya kidogo utagundua kumbe si kidogo kama unavyodhani kama huamini basi jaribu.
hizi ni baadhi ya picha wakati wa chakula cha pamoja na wahitaji it was so awasome for real.
shangwe na nderemo
zilipochukua nafasi
waandaaji wa chakula cha krismass lunch wakiwa tayar kwa ajili ya kuhudumia
wahitaji wakiserebuka
kwa furaha kubwa
ndio mkosefu pia kwa ajili yako wewe kisha aksema PENDANENI KAMA NILIVYOWAPENDA MIMI je tumeufikia upendo wa Yesu mmmmmmh hapana wala haitatokea kuufikiamimi kwetu ni maskini labda ndo maana naumia sana ninapoona wahitaji wakiumia dhaaaa naumia wakati mwingine nasema hata mimi sina nitamsaidiaje mwenzangu je ni kweli no si kweli
huwa najisikia faraja anapopata msaada mhitaji maana huwa nahisi nimesaidiwa mimi ooooh napata raha lakini pia wakati mwingine ni mgumu sana kutoa lakini nitafanyaje ndio kilema changu hicho (usikikubali) omba sana ukiepuke "hakuna maskini aliye masikini isipokuwa hapumui tena maana hatasaidia mtu isipokuwa tu yu hai" fanya kidogo utagundua kumbe si kidogo kama unavyodhani kama huamini basi jaribu.
hizi ni baadhi ya picha wakati wa chakula cha pamoja na wahitaji it was so awasome for real.
TMCS SUA pamoja na watu wengine wakiwa na wahitaji
ndipo uliwadia wakati murua kama huu
baadhi ya wanajumuiya wakiwasaidia wahitajikuchukua chakila
zilipochukua nafasi
hapa niligundua kwamba hawa watu wana vipaji vikubwa na wanaweza ila tu hawajapewa nafasi hebu wape nafasi uone
muhitaji akitumbuiza
waandaaji wa chakula cha krismass lunch wakiwa tayar kwa ajili ya kuhudumia
hizi kwa krismas lunch ya 2014
zawadi mbalimbali kwa ajili ya vituo mbalimbali
No comments:
Post a Comment